Unamshauri Nini Diamond Katika Ngoma yake na Rich Mavoko Inayokuja?Ni hii hapaAisee kwanza huyu jamaa anastahili Hongera nyingi sana, Huyu ni identity ya taifa kwa sasa within and outside of Africa.

Huyu jamaa pia ana busara na moyo wa kiume sio wa kulialia, juzi alipokosa award ktk MTV awards aliwapa moyo wasanii wenzake wa kitanzania katika ujumbe aliouandika instagram kutokata tamaa kwani watazichukua tu.

Ingawa atakuwa busy sana mpaka mwakani ila Salam amesema kuwa Diamond bado anatoa nafasi kwa watanzania kumshauri afanye nini ili kuboresha mara dufu nyimbo zake hususan videos.

Katika kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platnumz ameishaimba na

Harmonize wimbo wa BADO

Rayvanny wimbo wa SALOME

wimbo utakaofuata ataimba na Rich Mavoko (pacha wake kisauti)

Unamshauri nini SIMBA?

Mimi namshauri kwanza katika video yake asimtumie Mwanamke wa kizungu as his Video Queen.

Kuna mabinti wa kiafrika hasa wa kitanzania wazuri sana tu na inapendeza akiwatumia hao na sio wazungu.

Toa ushauri wako wa kuboresha kazi ya Platnumz.

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top