UCHAGUZI MAREKANI: Karibia asilimia 50 ya Wamarekani waliostahili kupiga kura hawakupiga kura katika Uchaguzi wa Urais uliomalizika jana.

Asilimia 25.6 walimpigia kura Hillary Clinton na asilimia 25.5 walimpigia kura Rais Mteule Donald Trump.

Donald Trump alishinda kwa idadi kubwa ya wajumbe kwa kushinda kwenye majimbo 

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top