Ukiachan baadhi ya raia kuandamana kupinga Donald Trump kuchaguliwa kuwa rais, wasanii wakubwa wawili wameonekana mtaani wakiunga mkono maandamano hayo.
Rapa T.I. na Meek Mill walikuwa mtaani wakiunga mkono harakati za “Not My President” zinazoendelea Marekani kwa siku mbili mfululizo.
T.I alisema “This ain’t supposed to be how people react to the election of a president,This ain’t what we built up on, man. This ain’t what we about. This is some bullshit.” akimaanisha “Hizi sio hisia sawa za watu baada ya uchaguzi wa rais wao, sio kitu tulichojenga, sio mambo yetu haya”
Watu waliokuwa karibu na T.I walikuwa wakisema Hillary Clinton kapata kura nyingi zaidi.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top