TANZIA:Breaking Newzz...Aliyewahi kuwa Waziri wa elimu Joseph Mungai afariki dunia..Chanzo cha Kifo Chake ni Hiki hapa | Masama Blog

TANZIA:Breaking Newzz...Aliyewahi kuwa Waziri wa elimu Joseph Mungai afariki dunia..Chanzo cha Kifo Chake ni Hiki hapa


Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu

Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.

Back To Top