Taarifa Mpya Kuhusu Dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wa CHADEMA ya kumtishia Rais Magufuli Hii hapa.. | Masama Blog

Taarifa Mpya Kuhusu Dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wa CHADEMA ya kumtishia Rais Magufuli Hii hapa..

KESI YA LEMA: Mahakama Kuu Arusha yamnyima dhamana Mbunge Lema; mawikili walipaswa kupeleka notisi ya rufaa kwanza na siyo kukata rufaa; arudishwa rumande hadi Desemba 2.

Back To Top