Ebhana Harmonize akiwa ni miongoni mwa wasanii wachanga ambao kwa uchanga wake amefanikiwa hadi kutoboa nje ya Bongo Tanzania na kukwarua tuzo kadhaa za Marekani ambazo ni Afrimma pamoko na Afrika Entertainment Award ambazo zote ni kama chipukizi, Sasa kupitia kipaza sauti cha Per Harmonize ametufungukia nini maana ya tuzo hizi kwake.
Akiongea na Pe, Harmonize amefunguka na kusema kwamba amegundua kwamba muziki wake umefika mbali kwa sasa na kingine kikubwa ni kwamba muziki wake pia umemfanya kukutana na wasanii wengi wakubwa na kutengeneza connection, msikilize zaidi hapa.


TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top