Soma hii Taarifa mpya ya Rais Mugabe Kustaafu Urais ZimbabweKwa mara ya kwanza rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe adokezea kuhusu kustaafu kwake .

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na gazeti linalomilikiwa na serikali la Sunday Mail ni kuwa  rais alisema "Nitastaafu ipasavyo."

Rais Mugabe alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mkutano na washirika wa vita mjini Harare .

Hata hivyo neno 'Ipasavyo' kama alivyotumia katika kauli yake halikueleweka vizuri.

Vile vile Robert Mugabe ameripotiwa kusema kuwa naamini kuwa ameshinda serikali za Uingereza na Marekani .

Wakati huo huo televisheni ya habari za taifa ya ZBC ilitangaza kuwa mikoa mingi ya chama cha ZANU PF imeunga mkono Robert Mugabe kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka 2018 .


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top