SIKIA HUU MSIMAMO WA MSANII NIKKI WA PILI KUHUSU DEMOKRASIA! ADAI SIASA IMEKUWA BIASHARA!...SOMA ZAIDI HAPA | Masama Blog


SIKIA HUU MSIMAMO WA MSANII NIKKI WA PILI KUHUSU DEMOKRASIA! ADAI SIASA IMEKUWA BIASHARA!...SOMA ZAIDI HAPA

Ameweza kujijengea heshima na uaminifu kwa wengi kutokana na kile anacho kizungumza kuwa chenye matokeo chanya na hivyo kufanikiwa kuwaaminisha wengi kile anachokiamini kutokana na upeo wake.Mapema asubuhi ya leo katika mtandao wa instagram mkali huyo aliweza kutoa somo kwa wengi baada ya kupost picha ya raisi mpya wa Marekani Donald Trump na kuandika caption flani hivi iliyotumika kama somo kuhusiana na suala zima la demokrasia.
Post yake ilisomeka kama ifuatavyo.
Pe imemtafuta Nikki wa Pili na kupiga nae story ili kujua ni kipi alimaanisha katika post yake ya Instagram. Nikki wa Pili amefun guka mengi zaidi kuhusiana na demokrasia na kudai kuwa siasa siku hizi imekuwa biashara na mtu huwezi kupata uongozi serikalini bila kuwa na pesa.
Nikki wa Pili ametolea mfano ushindi wa raisi mpya wa Marekani Donald Trump, na kudai kuwa Trumpametumia pesa nyingi sana kuhakikisha anapata uongozi na kilichompa nguvu Trump ni katika kuwekeza kwenye kujitangaza katika media tofauti tofauti nchini humo na mwisho wa siku kufanikiwa kutwaa kiti hicho.
Play hiii video hapa chini kumsikiliza Nikki wa Pili akifunguka kiundani zaidi kuhusu issue hiyo.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200