isis-iraq-war-crimes_si_Kundi la kigaidi la ISIS limewaua watu 232 jirani na mji wa Iraqi, Mosul na kushikilia makumi kwa maelfu ya watu linalowatumia kama ngao ya binadamu dhidi ya majeshi ya Iraqi na yale ya Umoja wa Mataifa yanaousogelea mji huo.

Kundi hilo limefanya mauaji hayo Jumatano hii kwa kuwaadhibu watu waliokiuka maagizo yake.
Msemaji wa shirika la haki za binadamu la umoja wa mataifa aliiambia CNN kuwa ISIS waliua raia 42 na wanajeshi wa zamani wa Iraq 190 waliokataa kujiunga nao.
Tangu October 17, ISIS imeshikilia makumi kwa maelfu ya wanaume, wanawake na watoto kutoka Mosul.
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top