Shuhudia huyu mtu alivyojiwasha moto ndani ya benki jana | Masama Blog


Shuhudia huyu mtu alivyojiwasha moto ndani ya benki jana

Mashine ya ATM iliyochomeka ndani ya benkiImage copyrightEPA
Image captionMashine ya ATM iliyochomeka ndani ya benki
Mwanamume aliyejiwasha moto ndani ya Benki moja mjini Melbourne, Australia hapo jana ametambuliwa.
Yasemekana mtu huyo anatokea Myanmar na amekuwa akitafuta hifadhi nchini Australia. Habari zaidi zinasema aliwasili nchini humo miaka mitatu iliyopita.
Mtu huyo mwenye umri wa miaka 21 alipelekwa hospitali kupata matibabu chini ya ulinzi wa maafisa wa usalama baada ya tukio hilo.
Watu watano walipata majeraha ya moto na 21 kuathiriwa na moshiImage copyrightEPA
Image captionWatu watano walipata majeraha ya moto na 21 kuathiriwa na moshi
Wanachama wa jamii ya waislamu wa Rohingya mjini Melbourne wamesema mtu huyo aliogopa kurudi Myanmar na kwamba alikuwa anakabiliwa na changamoto za kimaisha.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200