Shuhudia hii Ajali ya Treni Yaua Watu 95 Huku Wengine 150 Wakijeruhiwa | Masama Blog


Shuhudia hii Ajali ya Treni Yaua Watu 95 Huku Wengine 150 Wakijeruhiwa

KANPUR, INDIA: Takribani watu 95 wafariki dunia, wengine zaidi ya 150 wajeruhiwa baada ya treni ya abiria kupata ajali mapema leo.

Kati ya majeruhi 150, 40 wamejeruhiwa vibaya. Juhudi za uokoaji zinaendelea ili kuiokoa miili mingine takribani 70 ambayo imenasa kwenye vyuma vya treni.

Mji ambao ajali imetokea upo takribani Maili 300 Kusini Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo New Delhi.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200