Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Mh.Antonhy Mavunde Leo ameongoza Vikundi vya Jogging Mkoa Wa Dar katika Kuzindua Kampeni ya Kulinda na Kudumisha Amani katika Taifa letu.
Vikundi hivyo vilianza Mbio vikiongozwa na Mh.Mavunde Maeneo ya Mliman Cty Mpaka Leaders Club. Pia Wana Jogging Club wametuma Salamu za Pongezi kwa Mh.Rais Dkt.John Magufuli Kwa Mwaka Mmoja wa Madaraka yake ambayo yamekuwa na Tija katika Maendeleo ya Taifa letu wanamuombea heri zaidi


Hapa Naibu waziri huyo  wa kazi ajira na walemavu, Mhe. Anthony Maavunde akiongea na waaandaaji wa mbio hizo pamoja na washiriki amabapo pamoja na mambo mengine amesisitiza ushiriki wa Michezo kwa vijana na watu wote kwani ni mojawapo ya njia ya kuimarisha afya zao.
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100 
Top