Rio Ferdinand afunguka na kusema : Manchester Wamefeli | Masama Blog


Rio Ferdinand afunguka na kusema : Manchester Wamefeli

Mchezaji wa zamani wa Manchester united Rio Ferdinand ameonyeshwa hisia zake wazi kwa kuwa huzunishwa jinsi Manchester ilivyokosa saini ya mchezaji mwenye miaka 19 Renato Sanches.

Manchester united ilikua karibu kupata sign ya mchezaji huyu mwanzoni mwa mwaka huu lakini Bayern Munich ikampata kwa kiasi cha Pound milioni 29. Rio alisema,“Kama ningekuwa nahusika na scouting ya Manchester united, Sanches angekuwa Manchester tayari. Renato ni mchezaji wa kisasa, ana nguvu, mbinu, anashuti na kupiga pasi. Nampenda sana kwasababu ni mdogo na anachukua majukumu yake vizuri”.

Sanchez ameshinda kombe la Euro 2016 na kushinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri mdogo. 

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200