RC MAKONDA ATIKISA UBUNGO, AMKARIBISHA RAIS MAGUFULI KUZUNGUMZA LIVE KWA SIMU KWENYE MKUTANO WA HADHARA ENEO LA MARAMBA MAWILI LEO | Masama Blog

RC MAKONDA ATIKISA UBUNGO, AMKARIBISHA RAIS MAGUFULI KUZUNGUMZA LIVE KWA SIMU KWENYE MKUTANO WA HADHARA ENEO LA MARAMBA MAWILI LEO

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikata utepe kuzindua vyumba vya madarasa katika shule ya Sekondari ya Urafiki wilayani Ubungo mkoani humo, leo akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao namna ya kuzitatua. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole.
Makonda akiondoka baada ya kuzindua vymba hivyo vya madarasa katika shule ya sekondari ya Urafiki

Makonda akimtania mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Urafiki Rajabu Fadhili, baada ya kuzindua vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo leo

Makonda akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubingo Humphrey Polepole, baada ya kuzindua vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo leo

Wananfunzi wakisubiri kumsikiliza Makonda baada ya kuzindua vyumba vya madarasa ya shule hiyo leo

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Polepole akizungumza maneno ya utangulizi kumkaribisha makonda kuzungumza.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!

UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200