PICHA: AUNTY EZEKIEL AMSHUSHUA KWEUPE WEMA SEPETU | Masama Blog


PICHA: AUNTY EZEKIEL AMSHUSHUA KWEUPE WEMA SEPETU


Majuma kadhaa tu yaliyo pita, Wema Sepetu alionekana ku post picha nyingi kwenye account yake ya Instagram kumtakia heri ya kuzaliwa aliyekuwa shoga yake miaka ya nyuma Aunty Ezekiel.
wema-sepetu-smile
Wema Sepetu
Wengi kwenye mitandao ya kijamii wakajua kuwa tofauti zao zimeisha lakini cha ajabu ni tukio lililotoeka jana pale ambapo Aunty Ezekiel alipo weka picha Instgram kumtakia heri ya kuzaliwa mmoja wa amrafiki zake na Wema Sepetu ku comment kwenye post hiyo.
Dakika kadhaa tu Aunty Ezekiel alirejea kumjibu Wema kwa kumwambia aachane naye!
PicsArt_11-21-09.35.26


BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200