ONA HAYA MATUKIO MAWILI MABAYA AMBAYO STAA SNOOP DOGG AMESEMA KWAMBA WAMAREKANI HAWATOKUJA KUYASAHAU KWA KUMCHAGUA TRUMP | Masama Blog


ONA HAYA MATUKIO MAWILI MABAYA AMBAYO STAA SNOOP DOGG AMESEMA KWAMBA WAMAREKANI HAWATOKUJA KUYASAHAU KWA KUMCHAGUA TRUMP


Ushindi wa Donald Trump umekuwa gumzo sana kwenye mitandao ya kijamii, hii ni baada ya wamarekani weusi wengi kutegemea kwamba ushindi ungeenda kwa mwanamama Hillary Clinton.Sasa Msanii wa miondoko ya HipHop huko nchini Marekani ni moja ya watu ambao wameguswa na ushindi huo wa Trump kwani kura zao zote zilikuwa ni kwa Hillary Clinton, kuptia kurasa yake ya Instagram, Snoop Dogg amefunguka na kusema kwamba nchini Marekani kuna matukio mabaya mawili tu, ambayo ni

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200