Nyimbo ya Diamond ft Neyo "marry You" Yashika Namba 2 UK, Aweka RecordNyimbo mpya ya diamond ft Neyo iitwayo marry you ambayo official release imeshaachiwa United Kingdom (UK) shiku chache zilizopita imeendelea kufanya vizuri kwenye vituo mbali mbali.
Katika nyimbo mpya zilizotoka hivi karibuni diamond amekuwa akichuana na Bruno mars na wimbo wake wa Chunky.

Katika nyimbo bora za wiki zilizotoka hivi karibuni marry you imeshika nafasi ya 2 nyuma ya Chunky iliyokamata namba 1 kwenye kituo cha beat london, na kuweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kufikia level hiyo.

Ikumbukwe diamond na Neyo watakuwa na tour ya pamoja mwezi ujao huko UK

Hii ni hatua nyingine muhumu kwa diamond na mziki wake
Ikumbukwe wimbo wa marry you bado haujaachiwa kwa upande wa africa na video bado haijatoka
Japo kuna demo ilivuja

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top