MZEE wa Upako Aachiwa na Polisi...Agoma Kusema Kulichotokea Mpaka Kuwekwa Ndani
Anthony Lusekelo 
Siku chache zilizopita Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako wa Kanisa la Maombezi lililopo Ubungo, jijini Dar es Salaam alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanyia fujo jirani yake huku akimtolea maneno yasiyo sahihi.Inadaiwa kuwa,Mchungaji Lusekelo alifikia atua hiyo baaada ya kukerwa na tabia ya jirani yake huyo kutangaza kuwa yeye ni mlevi na hivyo hapaswi kuwa mchungaji.
Tangu aachiwe na Polisi, jana alifika kanisani kwake katika ibada ya Ijumaa kama ilivyo kawaida ambapo wengi walitegemea kuwa angewaeleza waumini wake kuwa ni kitu gani hasa kilitokea hadi akakamatwa na Polisi.
Tofauti na matarajio ya wengi, Mchungaji Lusekelo alisema hatozungumzia suala hilo na akasema kuwa ambao tayari wameanza kulizungumziawao wanendelee sababu inaonekana kama wao ndio wanajua ukweli sana.
“Kuna kitu nilikuwa nataka nikiseme, lakini sitakisema ili waendelee kusema hao hao waliokuwa wanasema. Sisemi chochote, hao waliosema wakawaulize wenyewe” alinukuliwa Mzee wa Upako akitoa maneno hayo wakati wa ibada.
Wakati akinendele na mahubiri yake kanisani hapo, alisema kuwa kuna watu walitamani asiwepo tena. Najua wapo na watashindana lakini hawatashinda na nina amini Mungu atawalipa sawa sawa na matendo yao.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top