Mwimbaji Jux Awachana MTV Kwa Kutaka Kumnyima Ali Kiba Tuzo | Masama Blog


Mwimbaji Jux Awachana MTV Kwa Kutaka Kumnyima Ali Kiba Tuzo


Jux amewachana MTV kwa blunder waliyoifanya kwenye tuzo za EMA mwaka huu. Ni baada ya hapo awali kumtangaza Wizkid mshindi ilhali aliyepata kura nyingi alikuwa Alikiba – ambaye Jumatano hii wamempa ushindi na kumpokonya Mnaijeria huyo.

Jux amesema kitendo hicho kimedhirisha wazi kuwa MTV hawajali kura za mashabiki bali huchagua washindi wao wenyewe na kwamba wameumbuka ‘big time.’

“That Ally and Wiz issue is a pure prove that they never consider people’s votes in their awards,” Jux ameandika kwenye Twitter.

“They only came back because the votes were live and everybody saw that Ally deserved the award. They should not have people vote if they will be continuing picking up winners without considering the majority’s votes,” ameongeza.

“MTV must be ashamed for this,”

Pia Jux amesema huenda ndicho kilichofanyika kwenye tuzo za MTV MAMA ambapo Wizkid alishinda tuzo nyingi zaidi.

Amesisitiza, “If only they had the MAMAs voting polls live on the site am sure it was RIP to that Wiz award and my nigga Diamond was coming home with it. Yo MTV should respek that TZ’s trafficking am sure they be getting a lot of trafficking on social media from TZ when it comes to voting.”

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200