Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 104 Huku Akijua ana Ukimw huikumiwa..Muone hapa | Masama Blog


Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 104 Huku Akijua ana Ukimw huikumiwa..Muone hapa

MALAWI: Mwanaume Eric Aniva, aliyeshiriki ngono na wanawake tofauti 104 akitekeleza mila huku akijua ameathirika na UKIMWI, amehukumiwa kifungo cha miaka 2 jela.

Amepatikana na hatia ya kutekeleza mila zenye madhara chini ya sheria za jinai za taifa hilo

Wanawake wawili wajane waliotoa ushahidi mahakamani walisema walilazimishwa kufanya mapenzi na mtu huyo ili kutakasa roho za waume zao ambao walishafariki.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200