Mwanamke anayejiita 'mungu' aliyewapiga watu risasi IndiaSadhvi Deva Thakur mara nyingi huonekana ameshika bundukiImage copyrightMANOJ DHAKA
Image captionSadhvi Deva Thakur mara nyingi huonekana ameshika bunduki
Polisi nchini India wanamtafuta Sadhvi Deva Thakur, mwanamke aliye mafichoni baabda ya kufyatua risasi za kusherehekea kwenye harusi
Shaghaziye bwana harusi aliuawa huku watu wengine watatu wakijeruhiwa vibaya.
Kwenye video ya tukio hilo lililotokea siku ya Jumanne katia jimbo la Kaskazini la Haryana, Sadhvi Deva Thakur anaonekana akifyatua risasi akitumia bunduki aina ya revolver.
Hakuna mengi kumhusu SadhviImage copyrightMANOJ DHAKA
Image captionHakuna mengi kumhusu Sadhvi
Baadhi ya walinzi wake nao wanaonekana wakifyatua risasi.
Vyombo vya habari nchini India vinasema kuwa Sadhvi, ambalo ni jina la kiindi linalomaanisha mwanamke aliye mtakatifu au anajiita kuwa mungu alingia sakafuni, ambapo alimuomba DJ kucheza wimbo aliotaka na akaanza kucheza densi.
Wakati huo ufyatuaji risasi ulikuwa ukiendelea.
Sadhvi ana wafuasi wachache ambao wengi wengi ni kutoka kijijiniImage copyrightMANOJ DHAKA
Image captionSadhvi ana wafuasi wachache ambao wengi wengi ni kutoka kijijini
Ripoti zinasema kuwa familia za bibi na bwana harusi zilimuomba awache maombi yao yaliambulia patupu.
Ni wakati shangaziye bwana Harusi mwenye umri wa miaka 50 aliangauka baada ya kupigwa rasasi na wengine watatu kujeruhiwa vibaya, ndipo ufyatuaji huo ukasitishwa.
Wakati huo Sadhvi na walinz wake sita walitoweka. Polisi wamewafungulia kesi ya mauaji na wanajaribu kuwatafuta watu hao saba.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top