Fidel Castro sits as he clasps hands with his brother, Cuban President Raul Castro
MWANAMAMPINDUZI wa Kimkomunisti Fidel Castro amewaambia viongozi mbalimbali  waliokusanyika katika mkutano wa watu wa Cuba kuwa atafariki dunia hivi karibuni na kwamba hiyo ndio inaweza kuwa hotuba yake ya Mwisho.

Kwa ujasiri mkubwa  Castro aliyekuwa Rais   wa Kwanza katika Nchi amesititiza kuwa mawazo ya mapinduzi yaendelee katika nchi hiyo.Fidel Castro  
  amewasihi vijana kuwa ndio taifa imara na kwamba jambo hilo alikuwa anasisitiza kwa muda mrefu kutokana na kuanza kusumbuliwa tangu mwaka 2000
"Hivi karibuni nitatimiza miaka 90'' nitakuwa kama wengine alisema Castro.
hata hivyo mdogo wake Raul Castro mwenye miaka 84. ameeleza kuwa ataongoza nchi hiyo mpaka mwaka 2018. 
Fidel Castro alizaliwa Agost 13, 1926 ambapo amewahi kuwa mwanasiasa wa Kuba, mwanamapinduzi wa Kuba, Waziri Mkuu wa Kuba kati ya mwaka 1959 hadi mwaka 1976 na amekuwa Rais wa Kuba huru kati ya mwaka 1976 na 2008.
Fidel Castro ameweza kufanya kazi kama katibu wa kwanza wa chama cha Kimkomunisti cha Kuba kati ya mwaka 1961 na 2011, chini ya utawala wake ambao ulikuwa wa chama kimoja, Castro ameweza kusimamia misimamo yake kimataifa.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top