MUONE HUYU MODEL ANAYEDAIWA KUTOKA NA WEMA ASHUKIWA VIKALI MTANDAONI,APEWA MAKAVU LIVEModel Calisah ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Wema Sepetu amesema hajawahi kutukanwa kama alivyotukanwa na watu katika mitandaoya kijamii baada ya kudai kuwa hamjui aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan.

Calisah wiki tatu zilizopita alidai hamjui Idris Sultan kwa kuwa sio mtu wa kufuatilia maisha ya watu wasiomuhusu.Akiongea na Bongo5 wiki hii model huyo amesema amekuwa alishambuliwa kwa matusi mitandaoni kwa madai amemdharau Idris Sultan.“Kusema kweli nimetukanwa sana kwenye mitandao ya kijamii,” alisema Calisah. “Watu wanataka niseme namjua wakati simjui, yaani watu wanalazimisha mimi namjua wakati simjui, kila mtu anachagua watu wakuwajua ndio maana mimi nikasema simjui kwa sababu simfuatilii na wala sijawahi kuingia hata kwenye ukurasa wake wa instagram,”Model huyo ambaye amewahi kutokea kwenye video kadhaa za muziki, amesema hali hiyo ameichukulia kama jambo la kawaida ambalo hutokea katika maisha ya binadamu.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top