KENYA: Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kenyan Airways amejiuzulu kufuatia shinikizo la muda mrefu la wafanyakazi wakitaka aachie ngazi kwa utendaji mbovu.

Uamuzi huu unakuja ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Bwana Dennis Awori ajiuzulu.

Wafanyakazi hao wanaulalamikia uongozi kwa kusababisha baadhi abiria kuchelewesha safari zao kutokana na ndege kutofika kwa wakati unaostahili

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top