Msikie hapa DAS Arusha na viongozi wa shirikisho vyuo vikuu wafunguka haya kuhusu mikopo ya juu leo.wapo Zenda na Nzota kutoka Taifa. | Masama Blog


Msikie hapa DAS Arusha na viongozi wa shirikisho vyuo vikuu wafunguka haya kuhusu mikopo ya juu leo.wapo Zenda na Nzota kutoka Taifa.

20161113_122551
20161113_123525Katibu tawala wa wilaya ya Arusha David Mwakiposa amekutana na wanafunzi wa shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu nakuwataka vijana kutengeneza vikundi pamoja nakubuni mawazo yatakayosaidia kuwesha kupata fedha zilizotengwa na serikali milion 445 za wanawake na vijana hasa katika serikali ya awamu ya tano ya viwanda

20161113_122904 Katibu msaidizi wa shirikisho la elimu ya juu   Daniel Zanda akitoa taarifa katika mkutano huo
Hata hivyo Shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu imesema tayari serikali imeshapeleka mikopo kwa wanafunzi zaidi ya bilion 71 baada yakutoa siku saba kuitaka serikali kutoa mikopo
Katibu msaidizi wa shirikisho la elimu ya juu amesema Daniel Zanda amesema jumla ya wanafunzi wasiopungua 25700 wameshaanza kupatiwa nakuiomba serikali kuhakiki suala la umri nakubaini wanafunzi hewa kwenye baadhi ya vyuo

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200