MSANII MENEJA MANENO ANATAFUTA UONGOZI MPYA 
Msimamizi wa siku nyingi wa wasanii wa Muziki Tanzania Meneja Maneno amesema anatafuta mtu wa kufanya naye kazi kama meneja wake kwa sasa.
Amesema anatafuta meneja kwa kuwa mbali na kwamba bado yuko kwenye kitengo cha umeneja katika ofisi yake na bado anasimamia baadhi ya wasanii kama vile Nay wa Mitego, kwa sasa na yeye ameamua kuwa msanii.

Akiongea ndani ya eNewz Maneno amesema kwa sasa ana kazi nyingi hivyo anahitaji mtu wa kumsapoti katika majukumu yake kwa kuwa anaamini kwamba kidole kimoja hakivunji chawa na ili ufanye kazi nzuri ni lazima apate wasaidizi wazuri.
Maneno amemaliza kwa kusema  ana mpango wa kuachia wimbo wake mpya ambao utaitwa kata funua hivyo anahitaji meneja wa kumsapoti kwa kuwa "ukiamua kuwa msanii ni lazima upate mtu wa kukusimamia kazi yako ili ufanye vizuri" Amemalizia kwa kusema ana kazi  nyingi hivyo anahitaji sapoti.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top