MSANII BARAKA DA PRINCE KUMBE SI TEAM KIBA?..SOMA HAPA UJUE YEYE NI TEAM NANI? | Masama Blog


MSANII BARAKA DA PRINCE KUMBE SI TEAM KIBA?..SOMA HAPA UJUE YEYE NI TEAM NANI?

13703179_103549963432328_613728120_n
Kama ulijua Barakah The Prince ni team Kiba, utakuwa umekosea kwa mujibu wa muimbaji huyo.

Hitmaker huyo wa Nisamehe adai kuwa hayupo team yoyote kati ya Kiba na Diamond ila anachotaka yeye ni mashabiki kutoka pande zote hizo mbili.
“Mimi sina team kiukweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini pia ni shabiki wa Ali. Diamond ameleta heshima kubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva. Ali ni msanii mkongwe ambaye ameniispire sana kuingia kwenye huu muziki, lakini pia Diamond anafaa kuwa role model. Mimi nataka mashabiki wa team zote,” amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
Muimbaji huyo yupo chini ya kampuni ya Rockastar4000 inayo msimamia Alikiba na Lady Jaydee

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200