MPYAA:SHUHUDIA HUYU MAMA NA MWANA WAMEJIFUNGUA WATOTO KUTOKA KWA BABA MMOJA NA MWEZI MMOJA | Masama Blog


MPYAA:SHUHUDIA HUYU MAMA NA MWANA WAMEJIFUNGUA WATOTO KUTOKA KWA BABA MMOJA NA MWEZI MMOJA


Mama na mwana wakiwa wamebeba watoto wao
Mama na mwana wajaliwa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja.Mwanamke kutoka Afrika Kusini, Mildred Mashego na binti yake Patricia, wameingia kwenye vitabu vya

kumbukumbu kama mama wa kwanza na binti wa kuzaa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja.
Pia wote wawili wamejaliwa kupata watoto wa kiume huku Patricia akimtangulia mama yake siku nne kujifungua.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200