MMILIKI WA FACEBOOK MACK ZUCKERBERG AWAJIBU WANAOSEMA FECEBOOK IMEMSAIDIA TRUMP KUSHINDA UCHAGUZIUchaguzi Mkuu wa Marekani umemalizika kwa Donald Trump kuibuka na ushindi na mambo mengi yakia za kujitokeza ikiweo wakazi wa nchi hiyo kufanya maandamano ya Trump kuwa rais na mengine yakiuhusisha mtandao wa kijamii wa Facebook umehusika kusababisha Trump kuibuka na ushindi.Habari hizo zimemfikia na Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook, Mark Zuckerberg na kuamua kuzungumza kuhusu tetesi hizo ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kusababisha mtandao huo kupoteza umaaruffu wake kwa kujihusisha na mambo ya kisiasa ambayo yanaweza kuchangia kuwagawa rais wa Marekani.Zuckerberg amesema habari hizo sio za kweli na kuna watu wameamua tu kuzisambaza lakini Facebook haijahusika kwa namna yoyote kumfanyia mgombea yoyote kampeni ili ashinde.“Hilo wazo la kuweka habari za uongo kuwa Facebook imeshawishi watu katika uchaguzi kwa namna yoyote ni wazo la hovyo sana,” alisema Zuckerberg wakati akizungumza katika mkutano wa unaohusu Teknolojia uliofanyika California, Marekani na kuongeza.“Tuna kazi nyingi za kufanya, sitaki kulikuza hili jambo kutokana na umuhimu wake sababu uchaguzi unaweza kuwa na madhara kwa kila mtu katika nchi hii na hata kwa dunia nzima


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top