MENEJA BABU TALE NA MASTER JAY WASEMA HAYA BAADA YA NYIMBO YA DIAMOND KUVUJA
Diamond akiwa amemtupia Neyo All the way kutoka pande za maandishi matatu kwa mnyama mkali Donald Trump, Sasa ngoma hii imekuwa namaswali mengi mitandaoni baada ya kuvuja.Baada ya ngoma hii ya “i want to Marry you” kuvuja mitandaoni, waya wa Perfcet ukaona sio kesi kumtafuta meneja wa Diamond Babu tale ili aweze kutujuza nini kimetokea juu ya ngoma hii kwanini imevuja mitandaoni na haijaachiwa official.
Akiongea na Perfect kupitia Onpoint, Meneja Babu tale alifunguka na kusema kwamba ngoma hiyo ilikuwa mikononi mwa kampuni moja hivi ambayo wanafanya nayo kazi ya kusambaza wimbo huu katika media zote, kwahiyo Babu tale akaendelea kufunguka kwamba wenyewe wanasubiria tu muda ukifika wa official ikifika nayo wataitoa na jambo jingine la kufahamu ambalo Babu tale ametuambia ni kwamba wimboo huu ni bado Demo kwahiyo mashabiki wangojee yenyewe ambayo ni Official.
Babu Tale aliongeza pia kwa kusema kwamba mpaka Neyo anafahamu kuhusu ishu hii ya wimbo wa “I want to Marry You” kuwa umevuja.
Baada kumaliza kubonga na Babu tale, waya ikavutwa tena hadi kwa Master Jay kufahamu inakuwaje mpaka ngoma inavuja?, Master Jay akaamua kutuambia kwamba kuvuja kwa ngoma sahivi ni mbinu za Kibiashara t

SHARE Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top