Mbunge wa CHADEMA apata ajali mbaya Mikese..ni huyu hapa | Masama Blog


Mbunge wa CHADEMA apata ajali mbaya Mikese..ni huyu hapa

Mbunge wa Tarime Vijijini Mheshimiwa John Heche amepata ajali eneo la Mikese akiwa njiani kuelekea DSM kutokea Dodoma.
Ila yupo salama pamoja na watu aliokuwa nao.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200