Master J: Mimi na Hermy B ni kati ya watayarishaji wa muziki tunaoishi maisha mazuri

Akiongea na kipindi cha Ladha 3600 ya EFM, mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa nchini Master Jay amesema kuwa kwa Bongo ni maproducer wachache wenye maisha ya kwendana na hadhi yao.
“Kati ya maproducer wanaoishi maisha mazuri hapa mjini ni mimi na Hermy B,” amesema Jay.
Master ameongeza kuwa yeye alishtuka mapema ndio maana akaamua kuachana na kazi hiyo kutokana na kutoona faida na kazi hiyo wakati huo huo akiwa na familia inayomtegemea.
Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna muziki pasipo kuwa na watayarishaji wa muziki – lakini wao ndio wamekuwa wakiongoza kuishi maisha ya chini zaidi.Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top