post-feature-imageMwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio
yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...


THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo maana utashangaa Mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini..Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI...MSHAURI...MBEMBELEZAJI...MTIA MOYO...MWENYE MAONO....Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.
Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKI.

OneloveTz

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100 
Top