Mama Diamond Afunguka Kuhusu Nyumba ya Madale..Adai ni yake Kama ni Kuhama Ahame Diamond na Zari | Masama Blog


Mama Diamond Afunguka Kuhusu Nyumba ya Madale..Adai ni yake Kama ni Kuhama Ahame Diamond na Zari

Nasemaje bim'danga Mama Chibu Ndo kishasema Mjengo wa Madale anaumiliki yeye, na wale waliokua wakimsimanga kuwa awapishe Kina chibu Na Zari kwenye Mjengo washindweeee, bi Maza anasema wataondoka wao Na wajukuu ila yeye wa hapahapa haondoki ng'ooooooo, Hiyo imekuja baada ya kukumbusha kauli ya Diamond kabla hajatoka ya kuwa nyumba ya kwanza kujenga itakuwa zawadi kwa mama..... 

 Msikilize Mama Diamond Hapa Chini:

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200