Maganda ya Machungwa yampa Mwanafunzi ushindi wa dola 50,000..Shuhudia iivyokuwa hapa | Masama Blog

Maganda ya Machungwa yampa Mwanafunzi ushindi wa dola 50,000..Shuhudia iivyokuwa hapa

Image result for mwanafunzi image
Binti wa miaka 16 nchini Afrika Kusini amejishindia zawadi ya maonyesho ya Google kwa kutumia maganda ya chungwa kutengeza kifaa kinachosaidia udongo kuhifadhi maji.Msichana huyo ambaye ni mwanafunzi aliwashinda wenzake wengine duniani kwa kujipatia ufadhili wa masomo wenye thamani ya dola 50,000 kwa ”kukabiliana na kiangazi kupitia chungwa”.
Kazi yake inajiri kufuatia kiangazi ambacho kinaendelea kuathiri Afrika Kusini.Kiangazi hicho ambacho ni kibaya zaidi kuwahi kutokea tangu 1982 kimeathiri mimea huku mifugo ikifariki.
Kwa sasa anaamini kwamba mbinu hiyo inaweza kuwasaidia wakulima kuhifadhi fedha pamoja na mimea.
mwanafunzi aliyeshinda udhamini wa masomo kwa kutumia magara ya machungwa
Credit:BBC

Back To Top