KUTANA NA MWANAMKE WA AJABU,ANAZUNGUSHA MWILI KAMA KAMBA,ANAKULA KWA MIGUU,ANATEMBEA KWA MIKONO Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend)  ana uraia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m  katika muda wadk  10.05  katika  tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.  Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu. Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine,
 lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwanamke huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake  katika shughuli zake binafsi kama Kula na kadhalika..... Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha  Mwili wake.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top