KUTANA NA MODEL BONGE ZAIDI ANAYEITWA TOSS HOLLIDAY. | Masama Blog

KUTANA NA MODEL BONGE ZAIDI ANAYEITWA TOSS HOLLIDAY.Toss Holliday unene mtaji ni modal  kutoka nchini Australia toka mdogo baba yake alikua apendi unenewake alimwambia awezi kufanya chochote leo star ana miaka 29.Unene umemfanya kuwa maarufu na kufanya vizuri kwenye soko.Instagram na twitter ana follower 800000 na post zaidi ya 760000 zinazopendwa na mashabiki wake.


Back To Top