KUNDI LA WEUSI WAJIPANGA KUJA NA STUDIO YAO PAMOJA NA OFISI | Masama Blog


KUNDI LA WEUSI WAJIPANGA KUJA NA STUDIO YAO PAMOJA NA OFISI


Kundi la Weusi limedai kuwa na mipango ya kutengeneza studio yao pamoja na kujenga ofisi.
Wakiongea na Planet Bongo ya East Africa TV baadhi ya wasanii wanaounda kundi hilo akiwemo Nick wa Pili, Joh Makini na G-Nako wamesema kuwa wapo kwenye mipango ya kutengeneza studio yao na ofisi kwa pamoja.
“Tuna mpango wa kuwa na studio pamoja na ofisi. Hii ndiyo mipango ya mwaka huu na mwakani,” amesema Nick wa Pili kwa niaba ya Weusi.
Mpaka sasa kundi hilo limeshafanikiwa kuachia nyimbo pamoja ukiwemo ‘Gere’ huku mara nyingi kila msanii akifanya kazi zake binafsi.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200