KIMENUKA..Kura za Urais Kuhesabiwa Upya Marekani | Masama Blog


KIMENUKA..Kura za Urais Kuhesabiwa Upya Marekani

Tume ya uchaguzi katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani limepokea ombi la kurudiwa kuhesabu kura za uchaguzi uliopita ambapo mshindi alikuwa Donald Trump aliyeshinda kwa kura chache wiki mbili zilizopita.
Ombi la kurudiwa kuhesabu kura liliwasilishwa na mgombea wa urais kupitia chama cha Green Party Jill Stein ambaye pia ametaka kura zirudiwe kuhesabiwa katika majimbo ya Michigan na Pennsylvania.
Hata hivyo ikiwa Hillary Clinton atashinda jimbo hilo hakutabadilisha matokeo ya ushindi wa Trump kwani lina kura 10 pekee za wajumbe wa uchaguzi.
Kamisheni hiyo imethibitisha kupokea maombi hayo na kuainisha kutoa maelekezo muda si mrefu

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200