Kijiwenongwa ikifika usiku kila mtu na mpenzi wake wanaenda viwanja wa mpira kujiliwaza..Hebu shuhudia HapaZamani kulikuwa na tabia ya watu wake kwa waume kwenda maeneo ya viwanja vya mpira majira ya jioni na kuanza kutongozana.Hiyo tabia mpaka leo bado ipo pande kijiwenongwa ikishafika usiku kila mtu na mpenzi wake wanaenda kwenye uwanja wa mpira na kujiliwaza.
Polisi walishapiga marufuku tabia hiyo kwakuwa wengine huwa wananchafua mazingira katika maeneo hayo ya wazi lakini watu wakawa hawajakoma.Zai anasema juzi polisi walivamia pande hizo na kuwatimua
Msikilize Zai mwenyewe akihadithia
Huku kwetu imekuwa kama fasheni ikifika saa moja  viwanja vya mpira watu wamejaa unaona vichwa tu vyakina baba na kina mama vichwa vyenye rasta na vichwa vyenye upara na minywele ilobanwa na kushatolewa tangazo viwanja vya mpira watu wafanye mazoezi lakini huku kwetu watu hawasikii mtu anakupigia simu njoo uwanjani,jamani!!
Sasa juzi walinifurahisha sana polisi kwamba yoyote atakayekutwa kiwanja cha mpira awe mwanababa ama mwanamama atafikishwa  mtaa by mtaa mpaka kituo cha polisi adhalilike,Basi bwana juzi mida mida ya saa mbili tukapigiwa simu njoo maeneo ya mpirani kufika kule skuwa pekeangu kila mtu na mtu wake tulio pakatana haya tuliopena visogo kama tunaimba kwaya,waliola,sasa kwenye majani na kiza kile,Sasa mimi kama Mungu kila nikiangalia mbele naona kama watu wanakuja nikamwmabia mzee mwenzangu mbona wale watu kama wamevaa gwanda!Dadaangu tuliona vumbi tu tumekimbizwayule bwana sijui kakimbilia wapi yule polisi ananikimbiza mimi kuna mwenzangu mdada mmoja mpaka wigi limeamguka,yule polisi anatuambia lei mpaka nyumbani kwenu na hawa polisi wa siku hizi ni vijana….
Audio Player


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top