Kanye West Apigwa ‘Boo’ za Kutosha baada ya Kudai Angempigia Kura TrumpKanye West si mtu wa mchezo mchezo lakini Alhamis hii maneno yake yalimtokea puani.

Ni kwasababu alijikuta akizomewa vikali Alhamis hii baada ya kuwaambia watu watu waliokuwa wamehudhuria show yake kuwa angempigia kura Donald Trump.

“I told you all I didn’t vote right? … But if I were to have voted, I would have voted for Trump,” alisema kwenye show yake ya San Jose, California.

“This is about the idea of a black guy liking Trump. They thought they had me because … just because I was black or just because I was a celebrity. But Trump is our president. And that would’ve been my vote, so I feel right, ” aliongeza.

Maneno hayo yaliwakera watu wengi waliomzomea. Yeezy amedai kuwa atawania urais wa Marekani mwaka 2020.

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top