KAMPUNI ya MURO Investment Yatangaza Kuuza Mabasi na Vituo vyake vya Mafuta...Kunani?Soma HapaKwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la nyumba kipigwa mnada, viwanja, magari, hoteli na mali mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni baadhi wa wakopaji kushindwa kurejesha fedha za mikopo walizochukua kutoka katika taasisi za kifedha.

Mbali na kupigwa mnada, baadhi ya hoteli na kumbi nyingine zimebadilishwa  matumizi ambapo nyingi zimefanywa hosteli kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo huku nyingine zikibadilishwa na kuwa shule na vyuo wakati wamiliki wengine wakiamua kuzifunga au kupunguza idadi ya wafanyakazi.

Kampuni ya Muro Investiment Co. Ltd inayomiliki mabasi ya safari za mikoani na vituo vya kuwekea mafuta imetangaza kuuza mali hizo. Kampuni hiyo haikueleza sababu za kuuza mali hizo.

Hili hapa chini ndilo tangazo la kampuni hiyo likielezea mali zinazouzwa.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top