Kama hujaipata vizuri ya yule Binti wa Chuo Kikuu aliyebakwa Hadi Kufa, kila kitu kikpo hapa | Masama Blog


Kama hujaipata vizuri ya yule Binti wa Chuo Kikuu aliyebakwa Hadi Kufa, kila kitu kikpo hapa

INASIKITISHA SANA: Binti mmoja ambaye ni model na mwimbaji wa muziki aliyetambulika kwa jina la JULIANA ISAWAFO (pichani) ambaye picha yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia jana ikionyesha mwili wake ukiwa umetupwa eneo la Ndoro nje kidogo ya Chuo Kikuu cha Makumira, Arusha baada ya kudaiwa kubakwa na watu wasiojulikana.juliana-1abakwa
julianaMmoja wa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo hicho, (jina lake halikufahamika mara moja) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema kuwa ameokotwa majira ya saa tano asubuhi jana akiwa amekufa na mwili wake kutelekezwa kwenye shamba la mpunga nje kidogo ya eneo la chuo hicho.
juliana-1
Mbali na kuthibitisha kifo hicho, kiongozi huyo ameeleza pia kuwa, msichana huyo ni mwanafamilia wa Chuo cha Makumira ila hakuwa mwanafunzi rasmi kama watu wanavyodai.  juliana-2 Ameongeza pia kuwa, msichana huyo alikuwa akiishi ndani ya eneo la chuo kwa Mzungu mmoja ambaye ni mmoja wa walimu wa Sanaa chuoni hapo.
screen-shot-2016-11-03-at-7-10-31-am
Mwisho akaeleza hisia zake namna ambavyo familia ya chuo hicho ilivyoguswa na msiba huo kwani msichana huyo alikuwa kama dancer wa matamasha mbalimbali ya Chuo cha Makumira.
juliana-isawofa-1
juliana-isawofa-2

Audio: Sikiliza Mahojiano | Msichana Abakwa Hadi Kufa Makumira University, Arusha

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200