Asaalam wana Jamvi. Mimi shida yangu ni kuwa, naomba kujua kabila lenye asilimia kubwa ya wanawake/mabinti wazuri kuliko wote TZ nzima. Jamani naombeni mjibu swali, kwa wenye ushaidi wekeni kabisa...Kiukweli makabila yote yana wanawake wazuri Tanzania Ila nnamini uliyemuoa au uliye naye katika uhusiano ndio Mzuri zadi ndo maana upo naye bila kujali kabila Lake..Share na wengine wjue hivyo

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top