Kama ulipitwa na taarifa ya Justin Bieber kuw ana mpenzi mpya mwenye miaka 17 anayemuweka mara kwa mara kwenye instagram yake, hii ni picha ya wapenzi hawa wawili.
Mwana dada huyu anaitwa Sofia Richie na ana umri wa miaka 17, Hivi karibuni Justin alipondwa sana instagram kwa kumuweka binti huyu wakila bata.
 0815-justin-bieber-sophia-richie-getty-4

SHARE 

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top