Huu Ndiyo Mjengo Atakaohamia Rais Obama Baada ya Trump Kuapishwa | Masama Blog JANUARI 2017, Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama ataondoka kwenye Ikulu ya nchi hiyo, White House na kuelekea kwenye makazi yake mapya huku akimuachia Donald Trump atakayekuwa ameshika dola.
 Huu hapa mjengo aliyoukodi Obama kwa ajili ya kuishi yeye na familia yake mara baada ya kuondoka White House.
 Mjengo huo ambao unamilikiwa na Joe Lockhart umejengwa mwaka 1928, una eneo la futi za mraba 8200 karibu na Washington DC ambao Obama ameukodi kwa gaharama ya dola milioni 5.3 sawa na bilioni 11,5 za Kitanzania.
 Obama ataishi humo na familia yake mpaka pale ambapo mwanaye wa pili, Sasha atakapomaliza masomo ya High School.Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top