Kuelekea November 5 pale Leaders Club joto ni sio la pole pole kwa wapenzi wa burudani kuhusu kinachotarajiwa kuhappen usiku huo.
Tekno Milles

Sasa mkali huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kutuma ujumbe kwa wapenzi wa muziki mzuri wote nchini Tanzania kuhusiana na ujio wake weekend hii.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top