HIZI NDIZO KAULI NANE ZA RC MAKONDA ZINAZOWATESA WATUMISHI MIZIGO | Masama Blog


HIZI NDIZO KAULI NANE ZA RC MAKONDA ZINAZOWATESA WATUMISHI MIZIGO

Na Sosy
HIZI  ndizo kauli  nane  mwiba kwa watumishi wasiowajibika zinazotolewa na Mkuu wa Mkoa Mbunifu kuliko wote Tanzania RC Paul Makonda  katika ziara yake ya siku kumi kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi moja kwa moja kwenye mitaa yao.
  Ni ngumu kumuongopea RC Makonda kutokana na kasi yake ya ufuatiliaji ambapo watumishi wenyekujaribu kuongopa wanaumbuliwa mbele ya wananchi.


Malengo makubwa ya Ziara hiyo ni kuhakisha kuwa atumishi wanatimiza wajibu wao
 RC Makonda amegundua kuwa wingi uliokuwepo kwenye serikali sio nguvu inayotumika hivyo amekubaliana na methali isemayo wingi si hoja


hata hivyo aliwahi kuwataka watendaji kuwa wabunifu na kufukiria njia mbadala za kuongeza mapato katika Manspaa zao 

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200