Mamia ya wananchi pamoja na Viongozi wa Serikali, wameungana na familia katika mazishi ya aliyewahi kuwa Mbunge na waziri wa zamani, Joseph Mungai yaliyofanyika November 12 katika mji wa Mafinga wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.
Mungai aliwahi kuwa mbunge wa Mufindi kupitia CCM na aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini katika awamu ya kwanza hadi ya nne akiwa waziri wa Elimu na Utamaduni, Waziri wa kilimo na Maendeleo, waziri mambo ya ndani, na alifariki dunia November 8 2016. 
Nimeuwekea picha za viongozi mbalimbali wa kiserikali na wananchi walivyoshiriki mazishi katika jimbo alilowahi kuliongoza Mufindi mkoani Iringa.


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi


Abbas Kandoro na Tundu Lissu (MB)


Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini, Kasesela (Kulia) na Deo Sanga (MB)
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100 
Top