HII NDIYO SABABU ZA WANAUME KUPENDELEA WANAWAKE WENYE UMRI MDOGO. | Masama Blog

HII NDIYO SABABU ZA WANAUME KUPENDELEA WANAWAKE WENYE UMRI MDOGO.


Katika hali ya kawaida na iliozoeleka katika jamii ni hili swala la wanume kupendelea kuoa au kuwa na wachumba wenye umri mdongo,, wanawake uwezo wao wakufikiri ni mkubwa kwa uhalisia, lakini wana tabia ya kujidharau sana, 
Yaani katika mahojiano niliyoyafanya na watu wanasama mwanamke aliyezaliwa 1992, na mwanaume aliyezaliwa 1992, kwa hapa mwanamke atakuwa na fikra pana kuliko mwanaume, kwa hiyo mwenye uwezo wa kumuoa huyu mwanamke anatakiwa awe amezaliwa 1989 kushuka chini.
Wanaume wanapenda wawe wasimamizi wakuu na watawala katika uhusiano ndio sababu ya wanume wengi kupendelea mabinti wadogo, 
Vile vile kuna maswala kimapenzi, wanume walio wengi wanaamini sehemu nyeti za mwanamke aliye na umri mdongo kwamba zimebana kwa hiyo katika swala la msunguano atajihisi utamu unaozidi kiasi.


Back To Top